Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Refa naona anaanza kupendelea Brazil
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
go mexico
Wana kamera hawachoki kutuonyesha mademu wa kibrazil, vipi ndo moja ya tourism advertisements za serikali ya Brazil nini?
Leo Brazil hawako vizuri kabisa,,,,,
Ninyi kipa si mnaye yule wa atletico madrid.Anatakiwa kubadilika Huyu big Fill!
Ona sasa kachelewa sn kumuingiza Willian !
Maana km kungekua na Neymar, Willian Na Bernald na Jo pale mbele kungekua vzr!
Duh Huyu Kipa aje Chelsea!
Ohhhhh what a save
napendekeza huyu kipa afanyiwe check up si ajabu ameficha zana
View attachment 165558wakati mchezo wa brazil na mexico unaendelea nje watu wanadhibitiwa na mabomu ya machozi