World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mkuu Inzi mbona unatufurahisha hivi? Hivi vitoto vya akina Jo,Hulk wawasumbue Italy...Timu inategemea skills za mtu mmoja,hakuna flowing tuliyoizoea ya Kibrazil..
Naona Brazil watatoka mapema tu michuano.
Brazil mwendo wa kusuasua tu.
Italy ukimdhibiti Pirlo nao kwishney
Kila timu ina udhaifu wake lakini So far Germany looks like a complete team
 
Setup haikua pouwa! Achilia mbali Ramires, Paulinho kafanya nini leo? Oscar? Gustavo? Woote wamekua mizigo Leo! Mpk Nahoza wao analalamika!

Sasa hii mizigo ndo Itaifunga Italy mkuu?? Kwa kweli ukimtoa Neymar Brazil haivutii zaidi ya kuwa Mwenyeji wa Michuano..
Sasa babu Pirlo atathibitisha kauli yako..
 
Msiiweke kando Spain kwa vile ilipigwa 5.bado ni timu nzuri na mie naipa nafasi ya kufika mbali pamoja na Holland.
 
Brazil mwendo wa kusuasua tu.
Italy ukimdhibiti Pirlo nao kwishney
Kila timu ina udhaifu wake lakini So far Germany looks like a complete team

Germany? Hao si wazee wa Nusu/Fainali? Miaka yote huwa na kikosi kizuri na wakipata nafasi wanafunga Magoli kweli,Unakumbuka 2010 walimpiga Argentina+England goli nyingi??
Hao hata hivyo huwa hawatusumbui labda Spain..
 
Holland?Spain?they're still a force to recognise.
Holland wako ok, ingawa beki yao iko very shacky and porous at times.
Spain itategemea atafanya nini mechi ijayo, so don't write them off, they are still a very good team.
Portugal nimeshawa-write off.
England wakitulia watakuwa wazuri na coach Hodgson akiacha ujinga wa kupanga timu vibaya.
Nigeria inabidi wafungashe virago waondoke tu manake uchezaji wao ni kama wanafanya match fixing
 
Germany? Hao si wazee wa Nusu/Fainali? Miaka yote huwa na kikosi kizuri na wakipata nafasi wanafunga Magoli kweli,Unakumbuka 2010 walimpiga Argentina+England goli nyingi??
Hao hata hivyo huwa hawatusumbui labda Spain..
Ukisema "hawatusumbui" wewe ni shabiki wa timu gani hiyo?
 
timu zingine kama Russia,South Korea,Cameroon,na Algeria,nadhani ni size yetu Taifa stars ila sema tu hatuna bahati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…