Baba Kelvin
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 788
- 139
haya mambo ya kulala saa 9 usiku na kipigo juu nishajiuzulu...
Hahahahaha! Tukomae kibishi labda yanaweza yakaenda poa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya mambo ya kulala saa 9 usiku na kipigo juu nishajiuzulu...
Mkuu camerun wanacheza thursday sio wednesday.
Mkuu camerun wanacheza thursday sio wednesday.
Kwa jinsi kundi la brazil lilivyo cameroon anapita..mark my words wadau.
haya mambo ya kulala saa 9 usiku na kipigo juu nishajiuzulu...
Kwa kweli acha tu mimi jana nimeshindwa hata kufanya kazi zangu vizur,halafu nikikumbuka ndo tulichapwa nabaki kuwa hoi zaid,ila tukeshe tu mkuu for fun si kwa ushabiki,mpira dk 90 lolote laweza tokea.
mi napenda mwanamke anaekesha kwenye vigodoro kama wa kwako...
kwan kasema anahitaji msaada jaman...kuambiwa niambiwe mimi wengine muanze masimango.
Hahajahaa.....yaaani mi natembea Kama mlevi kisa WC
Ungeenda nae bar kuangalia mechi ya saa saba usiku? LOL!
Hahajahaa.....yaaani mi natembea Kama mlevi kisa WC
sijui???? akipita utakuwa mtabiri mzuri