World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

roho yangu bado inanituma kuwa game ya uholanzi ni DRAW. Tukiangalia kwa upande wa "LUCKY DAY" timu zote zinaonyesha kushabihiana vitu vyote.

Hakuna kushabihiana kati ya waholanzi na waaustralia,

waholanzi wataonesha kwamba, kuitwanga spain hawakubahatisha kwakumtwanga Australia
 
Spain nae leo lazima aage,bon voyage Casillas na wenzako
 
Leo Robben au Van Persie lazima kuna mmoja ataongoza kwa kufunga magoli kwenye mashindano haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…