Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa kichapo juzi najua asili ni Ureno, na wajerumani wamekufunza adabu,ila usijali kiboko ya germany ni spain au italy,hapo hawafurukuti wajerumani au hata kwa timu za jamii ya yugoslavia zamani eg bosnia/herzegovina,croatia na serbia.Atakupa mipango kabambe ya msimu ujao mpaka utakimbia mwenyewe.
Hawa waingereza inabidi waishie hatua ya makundi ili watupunguzie kelele, na sina uhakika kama watapita kwenye hilo kundi lao
Hii game ni draw au uholanzi analala..
Australia wamekaza hapa.
Uko poa? Aisee mkuu mi nipo bado on the road tujulishane yanayojiri
Labda draw lakini uholanzi hawezi kufungwa.Hii game ni draw au uholanzi analala..
yaani wanaonekana wako fiti ile mbaya
Labda draw lakini uholanzi hawezi kufungwa.
hata wakifungwa itakuwa kwa taabu sana.