World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Australia wako vizuri kuliko 5pain, wanaonekana kuumudu mchezo kwa kasi ya mexico na brazil ya jana
 
Atakupa mipango kabambe ya msimu ujao mpaka utakimbia mwenyewe.
Hawa waingereza inabidi waishie hatua ya makundi ili watupunguzie kelele, na sina uhakika kama watapita kwenye hilo kundi lao
Pole kwa kichapo juzi najua asili ni Ureno, na wajerumani wamekufunza adabu,ila usijali kiboko ya germany ni spain au italy,hapo hawafurukuti wajerumani au hata kwa timu za jamii ya yugoslavia zamani eg bosnia/herzegovina,croatia na serbia.
 
Mabingwa watetezi wa kombe la dunia Spain al maarufu kama The Red Fury(La Furia Roja) leo hapo baadae saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki wapo uwanja wa journalista Mario Filho a.k.a estadio Maracana jijini Rio de Janeiro(river january)kupambana na Chile,kikosi
Casillas
Javi Martinez
Sergio Ramos
Azpilicueta
Alba
Xabi Alonso
Busquets
Xavi Hernandez
Diego Costa
Pedro Rodriguez
Iniesta
refa ni Mark Geiger kutoka USA,tuliteleza mechi ya ufunguzi,ila leo usikose burudani safi toka kwa timu namba 1 ya soka kwa takriban miaka isiyopungua 8 mfululizo,La Furia Roja(wekundu wa Spain)
 
Australia ni nguvu ya soda au? kama wakikomaa hivi mpaka mwisho tunaweza kuona matokeo ya ajabu leo
 
7 - Arjen Robben has scored seven goals in his last seven appearances for #NED . Threat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…