World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huyu kocha wa mexico ni ndugu na maradona nini?
 
Aaggrrrhh atushindi tena mama bahati si wetu leo
 
Etooooh! Amekosa. Esue ekoto alikokota ngozi akampunguza beki wa mexico akatia bonge la jalo! Etoo akaunganisha mkwaju mkali golikeeper wamexico akapangua. Kona haina chochote
 
Naona posho zinafanya kazi hapa.
 
Cameroon wajitaidi kutumia nafasi, uwezo wa kushinda wanao.!!
 
Kuna wanaume bado hawajacheza,leo tunaanza na uholanzi na spain,mexico na na cameroon,kesho wanaume wengine Italy na England bado kuna kizazi cha hitla ni sheedar
Dah ndio nagusa TV Kumbe kuna mpira ndio dk 28 ningeukosa Leo huu mpira ?
 
ohh Goli la pili Mexico wananyimwa, Hii haikuwa offside
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…