World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Game ya saa 1 usiku huu sitegemei maajabu . Mexico watashinda kirahisi sana. Cameroon ya sasa hawana spirit kama ile ya kina Mfede, Makanacky, na kunde ya 1990...

Full time: Mexico 2 Cameroon 0.
 
TONGONI

Mkuu ni matumaini yangu kabla ya kujisajili na JF ulizisoma Sheria za JF

Kama ulizisoma ulikutana na ujumbe huu hutakiwi: Kuleta maongezi binafsi baina ya mwanachama na mwanachama (waliojisajili) waliyoongea kwa kuaminiana kutoka katika Private Messages (PM) au barua pepe (Emails) na kuyaanika hadharani

Sasa wewe mbona unafanya tofauti na Sheria zetu?

Kuhusu Mada yako ulijaribu kuwasiliana na Mod yeyote kuhusu Mada yako?

Hujui Njia za kuwasiliana na Mods?

**Mada hii ibakie kwa lengo na madhumuni yake** sio sehemu ya kuleta malalamiko
 
Etoo na wenzie walilia posho serikali ikakopa na kuwapa,sasa tunataka kuona nguvu ya posho.
 
game ndio inaanza nation anthen took place
 
TONGONI

Mkuu ni matumaini yangu kabla ya kujisajili na JF ulizisoma Sheria za JF

Kama ulizisoma ulikutana na ujumbe huu hutakiwi: Kuleta maongezi binafsi baina ya mwanachama na mwanachama (waliojisajili) waliyoongea kwa kuaminiana kutoka katika Private Messages (PM) au barua pepe (Emails) na kuyaanika hadharani

Sasa wewe mbona unafanya tofauti na Sheria zetu?

Kuhusu Mada yako ulijaribu kuwasiliana na Mod yeyote kuhusu Mada yako?

Hujui Njia za kuwasiliana na Mods?

**Mada hii ibakie kwa lengo na madhumuni yake** sio sehemu ya kuleta malalamiko
Mpe haki yake.
 
Kitu uwanjani Now!!

J.JPG
 
Daaa naona posho zimewazidia cameroon!
 
mvua ikinyesha simba anashinda lakini hii ni kibongo bongo sijajua kuhusu hawa simba wasiofugika
 
Back
Top Bottom