Kisa nini?
Na gesi yote ile na maji yote yale,umeme umekatika,kweli Tanzania ipo dunia ya tatuAyaaaaa jenereta nayo imeloga wakati huohuo muhonga naye kashafanya mambo yake huku, jamani mtatupia updates mlio na huduma ya uhakika ya umeme, mimi off.
Wale hamna kitu wewe subiri tuone kipindi cha pili,kabla Genereta haijaishiwa mafuta,maana Muhongo nae Hasomekina australia nao watapewa maufundi ya ushindi vilevile.....
Na asipoangalia atapewa red card.
Noana mashabiki wa [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=TeamHolland]#TeamHolland [/URL] wanakimbia kijanja kwa kusingizia umeme umekatika
Hakuna kushabihiana kati ya waholanzi na waaustralia,
waholanzi wataonesha kwamba, kuitwanga spain hawakubahatisha kwakumtwanga Australia
Noana mashabiki wa #TeamHolland wanakimbia kijanja kwa kusingizia umeme umekatika
Jana ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Brazil kupata suluhu (sare ya bila kufungana) hatua ya makundi tangu mwaka 1978
Ahah pole sana, matokeo utapata lakini uhondo utaukosa.
Uzushi gani sasa?Acha uzushi
uko wapi huo ushindi?Mbona tupo na ushindi wetu.