Hivi hii ndo Australia iliyofungwa na Chile?Basi kazi ipo.Hili kundi halitabiliki
Kama Aust watashindwa kupata magoili kindi hiki cha kwanza basi cha pili wataumia vibaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hii ndo Australia iliyofungwa na Chile?Basi kazi ipo.Hili kundi halitabiliki
Hahahahaha! Umenikumbusha juzi mechi ya Ivory coast bintiyangu alipiga vuvuzela balaa.
Kama Aust watashindwa kupata magoili kindi hiki cha kwanza basi cha pili wataumia vibaya.
Hapa waDutch lazima washinde,sema hao Spain wakikutana na Autralia lazima wafungweUlidhani mtapata mteremko?
thubutuuu..tutawapiga vitatu tu leo tumechoka kufunga magoli mengi
Hapa waDutch lazima washinde,sema hao Spain wakikutana na Autralia lazima wafungwe
Mpe na leo maana #teamAustralia tunashinda
Hii mechi nadhani ndio kali mpaka sasa katika world cup na mbovu kuliko ni ile ya nigeria na iran.
Hahahah mkuu Skype leo ushindi lazima
Holland wanachapwa alafu bdae Spain tunafanya mavituz (in Charles Hillary voice).
Kwa nini?