Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Australia wananipa homa aiseee
Pole yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Australia wananipa homa aiseee
Hahahahaha!! Wewe kundi gani?
Wako vizuriAustralia wananipa homa aiseee
Ha ha ha haaah,,,,,,,,,hizi statistics sio, hao wengine hawajawahi kushiriki huenda wangekuwa wamefunga.
Much respect
Hapa ni #teamCahil haiwezekani tutoke patupu
Gemu la baridi sana!
Hii beki tatu ya uholanzi. nliikubali match ya spain ila naona leo kawa uchochoro.
Ulidhani mtapata mteremko?Hivi hii ndo Australia iliyofungwa na Chile?Basi kazi ipo.Hili kundi halitabiliki
Leo shabiki mjivuni full kupuliza vuvuzela
#holland hachomoki leo #teamCahil leo ataonesha ubora wake
Uko wapi katika mechi hii?duuuu match kali
Mimi #teamRoben ila nimewakubali austr mnapiga soka si mchezo. Yaani timu za leo ndizo zinazostahili kuitwa timu bora duniani siyo hao 5pa1n
Urejee na komenti hii baada ya dakika 90:thubutuuu..tutawapiga vitatu tu leo tumechoka kufunga magoli mengi
Kweli mkuu hatuwezi rudi kwenye kisiwa chetu kichwa chini