ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,984
- 360
Nawaambieni msioe wala msiolewe hamnisikii. Huyo aliyemegewa wadogo zake angekuwa hajaolewa yasingemtokea hayo
Goli lile amugonga mwanzo wa Cameroon mshika kibendera anaona manyunyu tu.ohh Goli la pili Mexico wananyimwa, Hii haikuwa offside
Bet: Cameroon 2-Mexico 1
Hii beki ya cameroon sio nzuri
Refa kila akitaka kuonyesha kibendera kati ya dimba kuwa ni goli, mkono unagoma. Chezea West Africans wewe! #KamatiYaUfundi kwi kwi kwi....
Huyu kipa wa camerun kazubaa sana. Hachezi krosi kabisa
Hivi ni macho yangu au mvua inanyesha dimbani? Au barafu?