World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Naona wazee wa posho wamebebwa hapa.
 
hii game ikiendelea hivi 0-0 kwa Maguvu ya mabeki wa Cameroon kucheza bila akili basi akiiingia chicharito wakichoka wameumia Cameroon atawakimbiza.
 
Refa kila akitaka kuonyesha kibendera kati ya dimba kuwa ni goli, mkono unagoma. Chezea West Africans wewe! #KamatiYaUfundi kwi kwi kwi....
 
Cameroon mbona hawafungui kabisa vyumba wamepooza sana
 
Back
Top Bottom