Daaa huu mpira hadi raha kamaWanakosa bao la wazi,upande wa 2 pili Uholanzi hawapotezi nafasi wao wanafunga
Hata Kaseja humfungi bao la kipuuzi namna iletatizo ule mpira umedunda umempoteza maboya.
Utabiri wako unaelekea kutimiami wananipa burudani tu hapa...
Beki ya Uholanzi ina leak mno!Uholanzi wana foward nzuri na viungo wakabaki lkn back lines mzozo
Tabu game ipo open sana.....sasa namkumbuka "Morinho"...HOLLAND paki Basi!
Daaa huu mpira hadi raha kama
Azam na majimaji
Mimi sitaki iwe draw ila hawa Makaburu sipendi waendelee
Utabiri wako unaelekea kutimia
Beki ya Uholanzi ina leak mno!Uholanzi wana foward nzuri na viungo wakabaji lkn back lines mzozo
mi wananipa burudani tu hapa...