World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Beki ya Uholanzi ina leak mno!Uholanzi wana foward nzuri na viungo wakabaji lkn back lines mzozo
 
Tabu game ipo open sana.....sasa namkumbuka "Morinho"...HOLLAND paki Basi!
 
Mimi sitaki iwe draw ila hawa Makaburu sipendi waendelee
 
Robin van Persie has scored 30% of Holland's goals under Louis van Gaal. No wonder they love each other so much!
 
Kuna timu kwenye mashindano haya zikitolewa zinastahili kabisa , ila hii Australia inatolewa kwa bahati mbaya tuu
 
Beki ya Uholanzi ina leak mno!Uholanzi wana foward nzuri na viungo wakabaji lkn back lines mzozo

Ukiondoa Spain, bado Holland hawajakutana na malegend haswa wa soka ili tujue uwezo wao hasa! Tusubir round za mbele, ila nao beki yao bado inaruhusu magoli, sasa wakikutana na wafumania nyavu wanafungika
 
mi wananipa burudani tu hapa...

Hata mm DEMBA ni burudani tupu hapa kilabuni ingawaje Mama muuza alizima TV yake kwa sababu eti sasa hatununui tena ulanzi na yy atapata hasara!Kuangalia soka kijijini ni balaa kabisa heri nyie wa mjini
 
Last edited by a moderator:
Memphis Depay scored from so far out that the goal wasn't in the broadcast frame

BqbechZCAAAOa0G.jpg
 
Back
Top Bottom