Naye anahitaji kiatu cha dhahabuRoben mchoyo
Naona game inakuwa chungu sana kama umeweka hela afu timu yako ifungwe
Wazee wa kubet kila siku wanalia.ndicho kipo hapa jf watu bado hawamini mapka mpira uishe.
ndicho kipo hapa jf watu bado hawamini mapka mpira uishe.
Hahahaha acha majungu bana!!! Usimsikilize Bulldog.
Inauma sana unakuta mtu kawekeza dollar nyingi sana afu ziende tu, hao unakuta wanaishia kulalamika sana tu
Wazee wa kubet kila siku wanalia.