World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hongera Holland kwa kuwa timu ya kwanza kwa kufanikiwa kusonga mbele
 
Australia wamejitahid sana kupambana ila bahati haikuwa yao.
 
Wakuu kwa mm binafsi naonakuishabikia timu za afrika nikujitakia ugonjwa wa moyo bora taifa star ingeenda wangemudu
 
Inauma sana!Aussie HAWAKUSTAHILI kuwa kwenye hatari ya kutoka,hawa jamaa wanaujua sana
 
Back
Top Bottom