World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hivi ni kweli mbu wananingata au ndio dozi ya magoli? Timu nyingi ninazoshabikia hazishindi
 
Spain wakitulizana wanashinda hii mechi.
 
Kutetereka kwa barcelona ndio kumesababisha na hii timu ya taifa ya 5pain kuwa ovyo.
 
Dah ngoja nikalale mie maana hapa sioni kitu mbu wanangata kweli kweli
 
Mimi nataka ushindi tu haiwezekani timu nzuri zitoke mapema yote hii

Mkuu hii spain sio mzuri, bali inawachezaji wenye majina (maarufu) istoshe hiyo staili yao watu washaishtukia.
Wekaanampira wenzako wakiukamata wanaenda kumuona Mwajuma ndalandefu (Casilas)
 
Mpaka sasa timu yenye magoli mengi ni Holland 8 sasa Chile wanataka mfanya Casillas awakute Holland
 
spain wanatakiwa wapigwe hata 8 bila, siwapendi kwa kua wanabebwa sana na blata
Hawapendelewi,ila sema walikuwa vizuri,Sasa yanawakuta yaliyowakuta France 2002 kule South korea na Japan
 
dah mpira usikilizie tu ngoma ikikataa ni noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…