Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Pole Spain na bye bye. Spain 0 Chile 1
Mkuu sijui hatujaelewana au mimi ndo sijakusoma, Bravo ni kipa wa chile
Na mimi ni #teamChile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Spain na bye bye. Spain 0 Chile 1
Kombe safari hii ni uholanzi mkubali mkatae!
Kweli ngombe wa masikini hazai
muhongo ni mkuda sana mpaka sasa bado amebana mataako yake, yaani sina tena namna nasubiri updates humu jf.
Mimi nataka ushindi tu haiwezekani timu nzuri zitoke mapema yote hii
Hawapendelewi,ila sema walikuwa vizuri,Sasa yanawakuta yaliyowakuta France 2002 kule South korea na Japanspain wanatakiwa wapigwe hata 8 bila, siwapendi kwa kua wanabebwa sana na blata
Hahahahaha! Pole bana ngoja tuwapatieni updates!!
Hivi wapo watu wanaovurugwa kwakufungwa timu ya wazungu?
Wasubilie kupigwa msumari wamwisho tu.Spain wakitulizana wanashinda hii mechi.