World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Barcelona ndo Spain kwa kweli. Kwa kuwa Barca imeshafulia tegemea kabisa Spain kwishneyyyy

safiii labda wamuombe yule mrembo wa ureno achukue uraia wa spain huenda akawasaidia japo naye kafulia na hajaonyesha cheche kabisa alipokutana na Germany akatelezeshewa 4 mfululizo.
 
Huyu kocha wa spain mbuzi kweli....hataki kufanya mabadiliko while kuna watu wanachemsha live....namna hii kipigo ni haki....
 
Casilas kwa nn aliutema mpira rahisi kama ule!Spain wanaondoka mashindanoni sababu ya uzembe wa kipa Casilas!Huyu Casilas kumbe namuelewa sasa Mourihno kwa kumtema Spain!Casilas hana kitu
 
Carzola, Mata, Fabregas, hivi hizi mashine ziko wapi huenda zikawaokoa hawa watu.
 
Haitakuwa ni haki kwa timu chovu kama Spain iingie raundi ya pili wakati timu inayocheza kama Australia inaaga mashindano Malafyale
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…