Kwani wewe uko wapi? Mwambie shemeji yetu akuachie uje uangalie Moira! Unafikri sisi hatutaki kuwa na wifi zako sasa hivi? Kama hakuachii usituulize?!! Ha ha ha ha ha! Spain ndo wamekosa jamaa kapigiwa pasi ya tiktak akatoa sentimita chache!
Mspain na Mjerumani/Mholanzi nani alikua wakuathiriwa na hali ya hewa ya Brazil?
Spain hawana mwelekeo
Yes, walifungwa na Senegal mechi ya kwanza, waka-draw na Uruguay mechi ya pili kabla ya kufungwa na Denmark mechi ya mwisho.
So, it was the last group game not the second game which sealed France's fate.
Ni tofauti kama Spain wakifungwa leo ambapo ni mechi ya pili.
that's nature.
Ambacho wangefanya ili kiwasaidie ni either kubadili wachezaji...sasa wao they have kept everything CONSTANT and yet expect different results.
Imekula kwao sasa.