World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kwani wewe uko wapi? Mwambie shemeji yetu akuachie uje uangalie Moira! Unafikri sisi hatutaki kuwa na wifi zako sasa hivi? Kama hakuachii usituulize?!! Ha ha ha ha ha! Spain ndo wamekosa jamaa kapigiwa pasi ya tiktak akatoa sentimita chache!

Kumbe yani.sijui kama spain watafunga leo..... Kaniambia nikalale namuuliza maswali sana
 
Kuna dalili za Messi kuingia ili kuokoa jahazi la Barcelona.
 
Yes, walifungwa na Senegal mechi ya kwanza, waka-draw na Uruguay mechi ya pili kabla ya kufungwa na Denmark mechi ya mwisho.

So, it was the last group game not the second game which sealed France's fate.

Ni tofauti kama Spain wakifungwa leo ambapo ni mechi ya pili.

Walivuliwa ubingwa bila ya kufunga hata goli moja... Afadhali Spain wameshafunga goli.
 
that's nature.

Ambacho wangefanya ili kiwasaidie ni either kubadili wachezaji...sasa wao they have kept everything CONSTANT and yet expect different results.

Imekula kwao sasa.

Hivi sijui miaka mingapi...xavi,iniesta hawa watu washawajua jinsi ya kuwazuia wasipitishe mipira nadhani hat wangecheza na Tanzania chuji anaweza kupata sifa kibao
 
Chile wame-park Yu Tong nne naona,khaa!!!!!!Spain jasho linamtoka.
 
Yes, walifungwa na Senegal mechi ya kwanza, waka-draw na Uruguay mechi ya pili kabla ya kufungwa na Denmark mechi ya mwisho.

So, it was the last group game not the second game which sealed France's fate.

Ni tofauti kama Spain wakifungwa leo ambapo ni mechi ya pili.

Okay mkuu hapa nimekuelewa sasa.
 
Back
Top Bottom