World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Piga kabisa Spain hawa. Wamebaki majina tu hamna kitu. Hata Barcelona msimu ujao ni majanga tu.
Bayern nao wawe makini na Guradiola manake anao anao bila magoli ni uzushi tu.
Wazee wameshajichokea akina Xavi na Inesta ni historia tu kwa sasa.
Well done Chile
 
Hivi Cameroon wakibahatika kushinda hii mechi ina advantage kwao kivipi??
 
Chile mmenipa raha ya mashindano mana kipigo kimetoa timu mbili,
 

Wazee wa posho watapigwa hawa.
 
Hahahaha maskini spain byeeeee


Nimefurahi sana nahamisha vita kwa wajeruman na wataliano
 
Nafikiri huu utakuwa mwisho wa Alonso,Xavi,Torres na Casilas haya yakawa mashindano yao ya mwisho

Plus Iniesta, Reina,Ramos, Valdes na wengine kadhaa. Wanatakiwa kuijenga timu yao upya. Kocha wao aliendeleza alipoishia yule marehemu hakubadili lolote pia kila kitu kilikuwa kimejengwa katika mfumo wa Barca. Kuporomoka kwa Barca kumesababisha Spain nayo iporomoke.
 
Hii ya Cameroon haina maana kuangalia maana wata draw!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…