AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Adios Espana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani Kipa wa Chile amekula kichuri.
Mchezaji wa chile ana mwambia mwenzie husinyanyuke.
Kuna shabiki pale uwanjani kabeba kibao kimeandikwa "ADIOS SPANA"
Kwa muda huu,i can comfortably say goodbye tiki taka!
Sio Mbaya ila Ukweli ni kuwa Spain imeizidi kimchezo Chile katika nyanja zote. Kufunga ilikuwa bahati tu na sio kiwango cha mchezo.
Nawahakikishia Chile haitaenda popote
Sio Mbaya ila Ukweli ni kuwa Spain imeizidi kimchezo Chile katika nyanja zote. Kufunga ilikuwa bahati tu na sio kiwango cha mchezo.
Nawahakikishia Chile haitaenda popote
Kama taifa stars.