World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kuna shabiki pale uwanjani kabeba kibao kimeandikwa "ADIOS SPANA"
 
Sio Mbaya ila Ukweli ni kuwa Spain imeizidi kimchezo Chile katika nyanja zote. Kufunga ilikuwa bahati tu na sio kiwango cha mchezo.

Nawahakikishia Chile haitaenda popote
 
LOL wazomeeni ooooh, wachekeni hahahaha. Ebana kama mtu aliweka bet ya Spain kuondolewa katika round ya kwanza atakuwa kavuta pesa nyingi. Lakini sitegemei kama kuna mtu alikuwa na roho kama hiyo ukizingatia jinsi Spain ilivyojengwa na vifaa. Spain hii nimeifananisha na Spain ya 1998.
 
Line up mechi inayofuatia

Croatia XI vs Cameroon: Pletikosa, Pranjic, Perisic, Corluka, Lovren, Rakitic, Modric, Srna (c), Mandzukic, Olic, Sammir

Cameroon XI vs Croatia: Itandje, Assou-Ekotto, Nkoulou (c), Song, Moukandjo, Aboubakar, Choupo Moting, Chedjou, Mbia, Enoh, Matip
 
BqcNmVICMAAr3Nu.jpg
 
Sio Mbaya ila Ukweli ni kuwa Spain imeizidi kimchezo Chile katika nyanja zote. Kufunga ilikuwa bahati tu na sio kiwango cha mchezo.

Nawahakikishia Chile haitaenda popote

Kupenda kubaya eeh. Pole sana kwa kipigo cha leo!
 
Back
Top Bottom