World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Dempsey si ndio kafunga goli juzi,aliyeachwa ni Donovan

Yea Belo ni London,Ila kwa spirit ya game ile km wanaweza kuweka kwenye game zote basi Al Sharpton team yako inaweza kufanya kisichotazamiwa mwaka huu....angalia Brazil,Argentina,Spain ndo km hao....its free for all
 
Hahaha nakubali LVG atawafanya mmshinde mechi mbili za mwanzoni baada ya hapo mtarudi mlipotoka kama kitachofuata kwa Holland round of 16. Wenger anaweza kumbadili Cleverly kuwa young Iniesta. Lakini kama tukimnunua Cleverly tutakuwa tunarudi nyuma hatua mia tano.

Wenger huyu aliyeshindwa kumbadili/kumwendeleza Wilshire au mwingine?

Back to the topic: Holland wako wazuri mkuu, magoli waliyofunga mpaka sasa ndio walifunga Spain mpaka wakachukua kombe 2010 [Goli 8}

Na Bado RVP atacheka na nyavu sana except siku wakikutana na England kwenye Semi Final ndio itakuwa mwisho wa kucheka na nyavu lol
 
Tatizo hizi timu za Africa sio za kuziamini sana , unaweza kuegesha kwenye TV kuwashangilia dah matokeo yake ukajuta
 
Hayo mashindano yako open sana,kabla hayajaanza Spain,Brazil na Germany ndio walipewa nafasi sana but viwango walivyoonyesha Holland,Chile,France na Italy vimefanya ni ngumu kupredict ubingwa
 
Kumbe hata hawa marefa wanaona ujiko kuongea english? LOL I can speak English.
 
Na Bado RVP atacheka na nyavu sana except siku wakikutana na England kwenye Semi Final ndio itakuwa mwisho wa kucheka na nyavu lol

Matusi kwa babu yangu Wenger namezea....ila hili la England semi Final.....?ya Rugby?hata huko wananyukwa na "Blackcats "kila siku....hawa wanafungasha virago mechi ya pili
 
sekunda.kadhaa tuu kameroon wanapiga shoot safi kabisaa
 
Nimefurahi sana..kuna watu tulibishana sana hapa..tukasema kama watachezesha alonso, bisquets, xavi, casilias..watotoka mapema.. Hao watu wamechoka..wanawaacha vijana kama koke, isco, mata, cazola, munian, pedro..wamestick na watu waliochoka..bado england kwa kunangania wakina gerad, roonie na lampard

england nao kesho inaweza kuwa safari,ukiona uruguy walivyo poteza kirahc kwa costa rica,na suarez kesho ymo ndani
 
Hawa wachezaji wa Cameroon ni mabitoz naona kuna wachezaji kama watatu wamevaa kata K, sijui watakimbiaje?
 
Back
Top Bottom