AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Ndio siku utakapoona tembo kavaa sidiriaSijawahi kusikia tembo kavaa chupi!
Pazi atakuwa ni #TeamSpain , itabidi uende ukampunguzie majonzi, Bantu Lady
Dempsey si ndio kafunga goli juzi,aliyeachwa ni Donovan
Hahaha nakubali LVG atawafanya mmshinde mechi mbili za mwanzoni baada ya hapo mtarudi mlipotoka kama kitachofuata kwa Holland round of 16. Wenger anaweza kumbadili Cleverly kuwa young Iniesta. Lakini kama tukimnunua Cleverly tutakuwa tunarudi nyuma hatua mia tano.
Supu unataka kuitia nazi
Tatizo hizi timu za Africa sio za kuziamini sana , unaweza kuegesha kwenye TV kuwashangilia dah matokeo yake ukajuta
Tuendelee kupeana nguvu, mzee mwenyee.Kwa jezi hizi, kameruni kashinda!
Na Bado RVP atacheka na nyavu sana except siku wakikutana na England kwenye Semi Final ndio itakuwa mwisho wa kucheka na nyavu lol
Nimefurahi sana..kuna watu tulibishana sana hapa..tukasema kama watachezesha alonso, bisquets, xavi, casilias..watotoka mapema.. Hao watu wamechoka..wanawaacha vijana kama koke, isco, mata, cazola, munian, pedro..wamestick na watu waliochoka..bado england kwa kunangania wakina gerad, roonie na lampard