World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ha Ha Ha kufungwa wafungwe sasa wanataka kupigana wenyewe kwa wenyewe
 
very poor, pamoja na kwamba Croatia ni timu nzuri
 
KWELI hawa kenge wamezoea fujo na mavurugu wameamua kutiana timbwili wao kwa wao
 
Team inayo niuma kuaga ni hawa wafunga Kangaroo!
Wanaujua sana hawa jamaaTim Cahil anazeeka ndiyo anakuwa mbaya zaidi
 
Ubishoo tuu Wanaingia na mbwembwe za kukonyeza kwenye wimbo wa taifa wakati ile ni kama sala. Hamna shida lakini hop ivory coast kesho wata make it up #GoTeamAfrica
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…