World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kwa mchezo huu waliocheza leo 100% watampa sifa Neymar za hat trick yake ya kwanza

Mkuu unajua Deschamp akimng'ang'ania Pogba wake kesho wanakaa kwa Uswis?

Pogba anang'aa Juve sababu anacheza na wachawi wa soka!Hapa kuna Pirlo pale kuna Marchisio na kushoto kwako yupo Vidal Arturo hata Chuji wa Taifa Stars angekuwa mtamu tu!

Toa Pogba aanze Mavubha na Matuidi hapo watashinda
 
Ngoja tuone maana me wote hawa naona soka lao linafanana ila huyu pogba ndo bado kabisa anajifanya staa sana
 
Ngoja tuone maana me wote hawa naona soka lao linafanana ila huyu pogba ndo bado kabisa anajifanya staa sana

Afrika sijui tumerogwa na nani haki ya Mungu!

Kila siku kukosa raha hadi binti yangu leo ananiuliza dad kwa nn kila mkicheza una kosa raha!
 
Bado Ujerumani lazima itolewe kama siyo raundi ya pili sijui.
 
Holland watachukua Ujerumani ngoma ngumu itatolewa tu.
 
Yule Mjerumani alishatabiri kuwa itachukua miaka 50 kwa bara la afrika kutwaa kombe la dunia so we should remain calm waiting for 50 yrs .
 
Nigeria, Ghana, Cameroun na Algeria wote ni vichwa vya wendawazimu.
 
Spain's midfielder Javi Martinez (C) reacts during the Group B football match between Spain and Chile in the Maracana Stadium in Rio de Janeiro during the 2014 FIFA World Cup on June 18, 2014.
 
slide_354631_3878469_free.jpg
 
Mm nabishaa aisee..jana uholanzi kacheza mpira wa kawaida sana na australia..akikutana na wanaojua vzur hawez kutoka kaka
 
Jaman mm n moja wa shabik wa sambaboyz..Brazil hawajaanza vzur sana ila mm binafsi nawapa nafas bado endapo watabadili mfumo kidogo...paulinho naona n mtu anayeharibu team hayupo Kwenye kiwango kizur kwa sasa anampa mzigo mkubwa gustavo..naona kuna umuhimu wa hernanes kuanzishwa..Hulk nae hayupo sawa nafikir willian akianza team itakua inapandisha mashambuliz zaid..huu n mtazamo wangu na ww shabik mwenzangu umeona kasoro gan ktk team?
 
warudi tu nyumbani Afrika kula pounded yam na egusi..kwa mikono ...thats what we know better....not soccer!...Cameroon wameniudhi sana leo....
 
Back
Top Bottom