World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

7pain siyo mchezo, kwenda kule blata kwenda kule, unaongeza dk 6 unafikiri watauweza mfupa wa chile? Hahaaa the esp era are over now.

SPAIN--Skilled_Players_Are_In_Nerthel......!!!
 
Hivi yule kidondofilo etoo alicheza? Tupa kule kameruni kwanza jina lao linafanana na waziri mkuu wa uk aliyeleta mambo ya haki sawa kwa wanawake na wanaume kijinsia.

Hahaaaaaa mkifungwa watu mna maneno ya kuumizq moyo
 
Hizi timu za Africa zinaudhi sana,wanaingia uwanjani wakiwa wamevaa bukta mlegezo,sasa utachezaje na mlegezo utakiambia kweli!
 
Miaka yote uholanzi na ujerumani huanza kwa kasi ila mwishoni huwa tofauti, jaribu kuangalia historia tangu 98 kula france Uholanzi ilikuwa ni tishio ila huishia nusu au Robo, jana Australia walicheza vizuri sana
 
Usingizi haukuwepo kabisa nimelala nawaza kuzima jenereta, nikaamka saa tisa nikakuta kameruni kauawa kuangalia updates uuuuuuuwi Spain analia, nikaona isiwe kesi, siangalii mipir ya saa nne
ahahahaaah,,,,,,,pole sana
 
Timu zote zinazotegemea striker mmoja inaonyesha kufanya vibaya,mfano Cameroon wamekuwa wakimtegemea Eto'o,Spain wao tim ya taifa wamejaa Barcelona na hawawezi kufunga washamzoea Messi
 
France walibeba kombe 1998,walikuwa watetezi 2002 mechi ya kwanza walipigwa na Senegal.hawakuvuka round ya kwanza
yah, umenikumbusha mtangazaji wa ESPN, hata kabla Diop hajapata mpira yeye anapiga makelele ' Diop is there, Diop is there, Diop is there,......, yes he score" alikuwa anamfagilia Diop ile mbaya.
 
Hahaaaaaa mkifungwa watu mna maneno ya kuumizq moyo

Mkubwa, mimi niko upande wa timu zifuatazo
Ghana
Germany
Holland
Algeria

hiyo kameruni simo kabisa na ukitaka uamini angalia Algeria na Ghana zote zilipigwa lakini sijasita kukwambia kua ndo timu zangu, why kameruni, tupa kule kabisa na ikiwezekana weka out of reach of children.
 
yah, umenikumbusha mtangazaji wa ESPN, hata kabla Diop hajapata mpira yeye anapiga makelele ' Diop is there, Diop is there, Diop is there,......, yes he score" alikuwa anamfagilia Diop ile mbaya.

Mkuu kipindi kile analogy sauti ilikuwa inawahi picha inachelewa kwa hiyo alikuwa sawa tu!
 
Back
Top Bottom