djnehe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 677
- 211
Sishabikii tena team za africa
Tena team za Africa usije uka bet utaingia Cheka sababu ni vilaza kweli kweli hizi na wachezaji hawana interest na team Zao za Africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sishabikii tena team za africa
7pain siyo mchezo, kwenda kule blata kwenda kule, unaongeza dk 6 unafikiri watauweza mfupa wa chile? Hahaaa the esp era are over now.
Hivi yule kidondofilo etoo alicheza? Tupa kule kameruni kwanza jina lao linafanana na waziri mkuu wa uk aliyeleta mambo ya haki sawa kwa wanawake na wanaume kijinsia.
ahahahaaah,,,,,,,pole sanaUsingizi haukuwepo kabisa nimelala nawaza kuzima jenereta, nikaamka saa tisa nikakuta kameruni kauawa kuangalia updates uuuuuuuwi Spain analia, nikaona isiwe kesi, siangalii mipir ya saa nne
Afrika sijui tumerogwa na nani haki ya Mungu!
Kila siku kukosa raha hadi binti yangu leo ananiuliza dad kwa nn kila mkicheza una kosa raha!
wewe mchokozi!England wanabeba kombe!
SPAIN--Skilled_Players_Are_In_Nerthel......!!!
yah, umenikumbusha mtangazaji wa ESPN, hata kabla Diop hajapata mpira yeye anapiga makelele ' Diop is there, Diop is there, Diop is there,......, yes he score" alikuwa anamfagilia Diop ile mbaya.France walibeba kombe 1998,walikuwa watetezi 2002 mechi ya kwanza walipigwa na Senegal.hawakuvuka round ya kwanza
Hahaaaaaa mkifungwa watu mna maneno ya kuumizq moyo
mkuu isihofu ipo cku,hakuna marefu yasiyokuwa na ncha
yah, umenikumbusha mtangazaji wa ESPN, hata kabla Diop hajapata mpira yeye anapiga makelele ' Diop is there, Diop is there, Diop is there,......, yes he score" alikuwa anamfagilia Diop ile mbaya.
Mkuu kipindi kile analogy sauti ilikuwa inawahi picha inachelewa kwa hiyo alikuwa sawa tu!