20:15 Zokora hatacheza mechi
ya mwisho ya makundi dhid ya
Ugiriki
20:14 Zokora anaoneshwa kadi
ya njano na sasa ni Freekick
kuelekea lango la Cote de Voire
20:12 Toure anapoteza fursa
nzuri ya kuiweka Ivory Coast
mbele sasa ni golkick
20:11 Freekick kuelekea lango la
Colombia bada ya Toure
kuangushwa.
20:08 Mkwaju wa Yaya Toure
hautumiwi vyema na
unanyakuliwa na Colombia
20:07 Freekick kuelekea lango la
Colombia Gervinho ameangusha
20:07 Juan Guillermo Cuadrado
anaendelea kutatiza safu ya kati
ya Ivory Coast
20:05 kipindi cha pili kinaanza
katika uwanja wa taifa ulioko
Brasilia .