World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Toure bana akiwa katika jezi ya City hizo free kicks zote ni wavu. Akichezea timu ya nyumbani kama vile kafungiwa mawe miguuni.

Nimesema huko nyuma, waafrika wakichezea team za kwao wanakua mashudu tu.
Huyu Yaya ndio anataka heshima za kina Zizou wakati akivaa jezi ya kwao anacheza kama kalazimishwa, mpuuzi!
 
Huyu Gervinho anaweza kukimbia na mpira toka golini kwao hadi kwa Colombia na kushindwa kufunga goli hata kama golikipa akiwa hayupo golini. Ndo kilichofanya Arsenal wamuuze. ziro products.
Roma msimu huu ndio alikuwa top 3 star wa team.
 
Hawa wachezaji wa africa wakiwa kwenye ligi ulaya wanakuwa wepesi sana lakini wakichanganya na wenzao wa africa wanakuwa wazito kama wamefungwa magunia.
 
Huyu Gervinho anaweza kukimbia na mpira toka golini kwao hadi kwa Colombia na kushindwa kufunga goli hata kama golikipa akiwa hayupo golini. Ndo kilichofanya Arsenal wamuuze. ziro products.

Anafanya maamuzi maamuzi mabovu mwisho ndo maana waafrica lazima tukubali kipaji pekee hakitoshi technical ability pia ni muhimu.
 
Leo tunaondoka na angalau pointi moja vs hawa Waafrika-afrika wa Colombia.
 
Toure bana akiwa katika jezi ya City hizo free kicks zote ni wavu. Akichezea timu ya nyumbani kama vile kafungiwa mawe miguuni.
akichezea City anapasua kati mbio akifika nje ya box anapima sehemu gani afunge anafunga hapa analeta ujinga wacha tu Serikali ahadi wavunje alafu anataka kuwekwa group la a Messi.
 
Zakora kapata yelo kadi!

20:15 Zokora hatacheza mechi
ya mwisho ya makundi dhid ya
Ugiriki
20:14 Zokora anaoneshwa kadi
ya njano na sasa ni Freekick
kuelekea lango la Cote de Voire
20:12 Toure anapoteza fursa
nzuri ya kuiweka Ivory Coast
mbele sasa ni golkick
20:11 Freekick kuelekea lango la
Colombia bada ya Toure
kuangushwa.
20:08 Mkwaju wa Yaya Toure
hautumiwi vyema na
unanyakuliwa na Colombia
20:07 Freekick kuelekea lango la
Colombia Gervinho ameangusha
20:07 Juan Guillermo Cuadrado
anaendelea kutatiza safu ya kati
ya Ivory Coast
20:05 kipindi cha pili kinaanza
katika uwanja wa taifa ulioko
Brasilia .
 
Hivi kwanini wachezaji wanafanya vizuri kwenye club zao ila mechi za taifa ni ziro!!
 
Back
Top Bottom