World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Keesho tena niondoke zangu Mie tushazoea sasa grrrrrrrrrrrr grrrrrrrrrrrrrr
 
Nilijua tu!Sisi tuwekeze kwenye Marathon mchezo ambao tunaujua sana
 
Tukisema kama Ivory Coast itavuka kw akumfunga Greece mechi ya mwisho ni kujidanganya tu!Hawatabariki hawa mechi ya mwisho wanaweza hata wakagoma kwa kudai posho zao!!
 
Drogba kadaivu baada ya kupoteza mpira... Come on Ivory Coast!!!!
 
Daaaah Africa zerooooooooooooo.
Shenzi huyu aliepoteza mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…