World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Waafrika kwa kweli mpira unatushinda. Tuna individual talents nyingi tu ila hatuwezi kucheza kitimu. Labda hapa baada ya hili bao la Gervinho huenda tutarudisha.
 
rubaman

Gervihno kakuthibitishia tofauti, kwa kufunga goli lol
 
Last edited by a moderator:
Huyu bweg.e alikua analia wakati wa kuimba national anthem kumbe alijua ataenda kutoa boko.

Sishabikii timu ya Afrika kwenye hii W.C.
 
imekuwaje niomeondoka dakika tano wameshafungwa goli la pili na kufunga moja ?
 
Back
Top Bottom