Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Drogba kaleta gundu.
Kusema ukweli, huyu mfungaji wa goli la pili ni hodari
Tembo kang'olewa jino la pili kinachofuata ni kuchuna ngozi![/
Hawa Colombia wachawi...ngoja niendelee kulipiliza.....tusharudisha jino moja.....
wazee WA bagamoyo endeleeni kuchoma vifuuu.......