Bao la pili limeniuma sana, one mistake one goal.
Ndio soka lenu afrika.Tembo kang'olewa jino la pili kinachofuata ni kuchuna ngozi![/
Hawa Colombia wachawi...ngoja niendelee kulipiliza.....tusharudisha jino moja.....
wazee WA bagamoyo endeleeni kuchoma vifuuu.......
Tembo kang'olewa jino la pili kinachofuata ni kuchuna ngozi![/
Hawa Colombia wachawi...ngoja niendelee kulipiliza.....tusharudisha jino moja.....
wazee WA bagamoyo endeleeni kuchoma vifuuu.......
Hahahaha! Bora bana tumeshaokoa jino 1 hapa!
Hii gemu hatufungwi magic drogba ndani hakuna kitakacho haribika
Leo tupo pamoja tena ehhh! Tumuombee tembo amsigine mtu.
siku ya Leo ikiisha vibaya kwa #TeamEngland itabidi niwe rasmi mshabiki wa #TeamColumbia .
Hivi kuna matumaini kweli??.
Mimi chakula kimegoma.