Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Jumanne 24 June SAA 5 usiku
Acheni matusi nyie
Yaani nimebaki kucheka tu...nina hasira sana ngoja nijipige nyeto nikalale labda hasira zitapungua
dooo dua tamu hili..Nawaombea England wafungwe, kuna watu kama kina Rooney siwapendi. Mkifungwa nitarudi hapa.
Yako wapi Hapo???
Yaani nimebaki kucheka tu...nina hasira sana ngoja nijipige nyeto nikalale labda hasira zitapungua
utanipa matokeo yalivyo
Mbona kama mnaongelea mambo ya kiridhishana kimapenzi
Afya ya mpira Africa bado ni tete sana inaitajika lishe ya maana kuimarisha afta hii
Kick-off approaching. Final predictions please.
Nilifurahi sana Suarez alipodaka mpira mwaka 2010 na kuizuia Ghana.
Nilifurahi zaidi yule mkata mauno alipokosa penalty.
Hope leo Suarez ataendeleza furaha yangu kwa kuwakalisha England.