World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

England sijawai kuiamini hata siku moja, najua wanapigwa tu.
 
Afya ya mpira Africa bado ni tete sana inaitajika lishe ya maana kuimarisha afta hii
 
Nilifurahi sana Suarez alipodaka mpira mwaka 2010 na kuizuia Ghana.

Nilifurahi zaidi yule mkata mauno alipokosa penalty.

Hope leo Suarez ataendeleza furaha yangu kwa kuwakalisha England.
 
Usije kubet team za africa, utalia
 
Back
Top Bottom