World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nilifurahi sana Suarez alipodaka mpira mwaka 2010 na kuizuia Ghana.

Nilifurahi zaidi yule mkata mauno alipokosa penalty.

Hope leo Suarez ataendeleza furaha yangu kwa kuwakalisha England.

huyu Suarez nilimchukia sana nilimchukia kuliko kitu chochote kipindi kile...

yaan kumbe kuna wengine mlifurahia
 
Wazee wa tunakabiliana na changamoto, bora hizo timu ccm haijawai fikia malengo.

Back to the topic, Uruguay siipendi ila England inafungwa.

haah,haah michakato,mpango mkakati,mpango kazi,utadhani watoto wanajipikilisha
 
Team England tumejiandaa kupokea ngapi vile.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…