Team England tumejiandaa kupokea ngapi vile.?
Sioni dalili ya England kushinda hii gem.Gemu tamu balaa uruguay lazima akae leo!
Sioni dalili ya England kushinda hii gem.
Bulldog...natamani ningekuwa wewe....hapa omba Uruguay tushinde tu!
Duh, unataka kulazimisha maji kupanda mlima.
Tanesco hawaaaa...mxiuuuuuii
Aya unauliza vumbi stoo.....?????Hawa walimu wa kiingereza hawana jipyahahaha na wewe ni #teamuruguay #
Mkuu si unaona mwenyewe dalili za Uruguay kukalishwa
Sasa hao Man Utd na barca wanashiliki WC?Barca wamekwisha halikadharika Spain. Man Utd wamekwisha tusubiri tuone kama England nao watawafuata.
ntakukumbusha baadae urudie maneno yako!