World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Barca wamekwisha halikadharika Spain. Man Utd wamekwisha tusubiri tuone kama England nao watawafuata.
 
Sterling atoke aingie Lampard mapema sana la sivyo itakula kwao Uingereza!Anapoteza boli kiurahisi sana
 
Hawa hata wakivuka hatua hii ya makundi hawafiki mbali kwa uchezaji huu
 
Mkuu si unaona mwenyewe dalili za Uruguay kukalishwa

Tatizo la England mnashangilia ushindi kabla hamjafunga hata goli moja. Unakumbuka World Cup 1998? Inaelekea wapenzi wengi wa England wana DNA ya Arsenal na Man utd.
 
Back
Top Bottom