AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
acha tu kutazama mpira.
Nilisema mkifungwa nitarudi, haya vijukuu vya Lizzy habari ndio hiyo. Na mtafugwa mawili bado moja hapo, nyie team kufungwa msikimbie huu uzi.
David Seaman Yule aliyetunguliwa kutokea Kisiwani yeye amesimamia Bara na Ronaldinho?
Kwasasa siioni hata tim ya kuishangilia.Yaani timu za africa gundu tupu
Last time nilisikia alipatwa na matatizo
Nashangaa #AgainstTeamEngland wamefufuka kwa hako kagoli kamoja wakihisi Uruguay watashinda hii mechi