Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu w acha waote ndoto za kuvembewa viazi usiku huu lakin England tukirudisha hilo goli watapotaeana wote humu JF
Acha kupotosha umma, bila refa kuwabeba Urugway unadhan ungesema haya unayoyasema sasa?
teh teh labda..Bundi kahamia huku uruguay.
Duh! Kweli mkuu unaroho ya paka, yani kabisaaa kunakurudi goli hapo?Mkuu w acha waote ndoto za kuvembewa viazi usiku huu lakin England tukirudisha hilo goli watapotaeana wote humu JF
hahahahaha Rooney ana koswa hapa daaaa world cup ya mwaka huu ni noma....