World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Saurez,Lous Suarez jina ambalo mbali na operation ya goti aliyofanyiwa week 4 zilizopita ukilitamka england leo hii linageuka kua nightmares hata kwa captain wake wa liverpool steve Gerald ambaye mara kadhaa katika mchezo wao dhidi ya Uruguay alikua anahakikisha atleast anampunguza speed striker huyo wa liverpool lakini wapi...kama kawaida yake alitupia goal mbili ambazo zinazamisha kabisa ndoto za uingereza katika fainal za kombe la dunia huku matokeo yakiisha kwa 2-1 na uruguay kujichulia point zote 3 muhimu
Match hiyo pia ilitawaliwa na kituko cha Wayne Rooney(mchezaji ambaye anabebwa na jina la nchi yake) kufunga goal la kwanza maishani mwake tangia aanze kucheza fainal za kombe la dunia 2006,pamoja na jitihada za uingereza kujaribu kusawazisha lakini juhudi ziligonga mwamba
Hii kawaida ya England kuishia hatua za makundi katika mashindano makubwa kama World cup,Euro ni muendelezo tu kua hawawezi na team zao za Taifa mara zote ni immature ukilinganisha na vikosi inavyokutana navyo,pamoja na ukweli kwamba England ni nchi ambayo league yake ina mvuto zaidi na inaangaliwa na watu wengi zaidi(inalipa sana) duniani ni muda wa waingereza kukubali kua soka lao liko commercialised zaidi hivyo ni la watu wa kuja kutoka mataifa mbalimbali duniani lakini wao wenyewe hawajiwezi kisoka
 
Anyway Muinglish aliyekuwa na good tournament ni WAYNE "THE WHITE PELE" ROONEYYYYYYYYYYYYYY kaondoa gundu la kutofunga goli katika kombe la dunia.
 
_75660831_a3aca7b9-05dd-4b55-850f-6c2d6cea26ca.jpg

waingereza kwa kujifariji hawajambo na visingizio vingi ona hapo chini

Four shots each - two goals for Luis Suarez.
That's the difference.
 
Pazi, umeshachagua timu ya kushangilia raundi ya 16 niunge tela?
Sababu toka zamani ni Italy na rudi Italy England unazi wangu tu Kama Kina Kibunango kaonyesha Kama wangekuwa wachezaji wa Arsenal Kasema angekuwa England tehtehteh bora. DonDonald na England ni mshabiki wa kweli hamtizami mchezaji katokea timu gani yeye wewe unaifikiria kwanini Morinho na Juve wanashangilia Italy? Hata Belo kastukia kuna ushabiki wa unazi tu tehtehteh ila DonDonald mshabiki wa kweli.
 
Die Serey his a real hero
huyu jamaa wakati wanaimba national anthem alikuwa analia siyo sababu ya uchungu wa taifa no baba ake passed away 2 hours before the game start but he still playing
RIP baba ake na Die
 
Attachments

  • 1403212739643.jpg
    1403212739643.jpg
    70.7 KB · Views: 80
Sababu toka zamani ni Italy na rudi Italy England unazi wangu tu Kama Kina Kibunango kaonyesha Kama wangekuwa wachezaji wa Arsenal Kasema angekuwa England tehtehteh bora. DonDonald na England ni mshabiki wa kweli hamtizami mchezaji katokea timu gani yeye wewe unaifikiria kwanini Morinho na Juve wanashangilia Italy? Hata Belo kastukia kuna ushabiki wa unazi tu tehtehteh ila DonDonald mshabiki wa kweli.

Tatizo EPL mpaka mwezi wa nane, sina timu ninayoshabikia mpaka EPL ikianza
 
Die Serey his a real hero
huyu jamaa wakati wanaimba national anthem alikuwa analia siyo sababu ya uchungu wa taifa no baba ake passed away 2 hours before the game start but he still playing
RIP baba make na Die

Maskini dah!far away from home.inatia uchungu sana aisee.
 
Die Serey his a real hero
huyu jamaa wakati wanaimba national anthem alikuwa analia siyo sababu ya uchungu wa taifa no baba ake passed away 2 hours before the game start but he still playing
RIP baba make na Die

so sad RIP baba make
 
[h=3]Former England international Chris Waddle[/h]

Uruguay 2-1 England
Posted at
"The big problem for England is the Premier League. We bang a drum about what we have. We hype all our players up massively.
"We don't know how to win games, it is not about picking your best players, it the right balance. Other countries have good players but put them on the bench. How do you win matches, start from the back and then you get organised. It is not about the best players. We never, ever, ever learn."
 
Katikati ya bahari nimuokoe nani? Suarez nampenda, Sturridge nampenda! Huku Gerard nampenda, Coates nampenda! Liverpool future looks bright
 
Nimefurahi sana suarez alivyowapelekea kipigo..akina sturige, henderson, gerad, johnson, reaheem huwa wanashangilia nae lakini leo kawaua vibaya na hapo ametoka kwenye operation..ila na kwa england.gerad, baines na welback wanawachezesha kwa nini..gerad mechi zenye presaure zote lazima atoe boko..kama kile kichwa alichompasia suarez
 
Die Serey his a real hero
huyu jamaa wakati wanaimba national anthem alikuwa analia siyo sababu ya uchungu wa taifa no baba ake passed away 2 hours before the game start but he still playing
RIP baba ake na Die
. Dah Sad R.I.P kwa Baba Yake, Mwenyezimungu anisamehe niliona Clip jamaa analia moyoni Kama binadamu tunarukia tusiojuwa nikasema jamaa naye anaiga matimu Kama Brazil nyimbo ya taifa kulia ovyo Kumbe hujui mtu nini kimemsibu mungu awape moyo wa subra familia yake.
 
Waambie Madrid na mihela yao ya Sembe wafyate mkia, Suarez atosha Liverpool
 
Katikati ya bahari nimuokoe nani? Suarez nampenda, Sturridge nampenda! Huku Gerard nampenda, Coates nampenda! Liverpool future looks bright

mwnyw nimepata wakati mgumu leo nishabikie timu gn nikiona england imejaa lvpool huku nampenda suarez zombi.nilitaka wtke droo
 
England inatakiwa wawe wananyimwa posho kama wachezaji wa Afrika ili wawe na sababu ya kufanya ovyo katika mashindano makubwa. Mambo gani haya wanapewa posho ya kumwaga(labda kuliko nchi zote) lakini matokeo ni yale yale kila mwaka.
 
Back
Top Bottom