World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13


hahaha ndo atajua mwenyewe sasa kama ni world class au la
 
Last edited by a moderator:
AC Milan imesema iko tayari kupunguza bei ya Mario Balotelli (£27m) kama Arsenal itamwachia kinda anayetisha Joel Campbell (21) ahamie AC Milan.
 
Mario Baloteli amesema endapo Italy wataifunga Costa Rica leo na kuisidia england kuendelea kuwepo,ataomba apigwe mabusu na malkia Elizabeth
 
Die Serey his a real hero
huyu jamaa wakati wanaimba national anthem alikuwa analia siyo sababu ya uchungu wa taifa no baba ake passed away 2 hours before the game start but he still playing
RIP baba ake na Die

si ndie aliyefungisha goli la pili huyu?
hakutakiwa kucheza huyu.
RIP baba ake.
 
We we we umesema pirlo afanyaje? Kwa taarifa yako kina pirlo wataondoka asbh ya tar 14 July

Mkuu baadae nitakukumbusha wakati kijana Campbell anavyo wageuza!

Italy isingempoteza Montolivo aungane na Pirlo na Marchisio pale katikati ndiyo ningekubali haya usemayo!!
 
si ndie aliyefungisha goli la pili huyu?
hakutakiwa kucheza huyu.
RIP baba ake.

Mkuu aliye uza nyumba ni Tiote Ismail na wala sio mfiwa!
Baba amekufa bila kuliona pukupuku toka kwa Arsenal maana wanamtaka sana kijana huyu!
 
Inaweza ikawa na ushindani kidogo kwa sababu wote hawana point hata moja. Lakini Ecuador ananafasi kubwa ya kushinda.

Ecuador sio tu anashinda bali anaingia round ya pili atamfunga France pia!
France kumtegemea Pogba pale kati badala ya Leo Mavuba na Blaise Matuidi ndiyo kunawamaliza!

Deschamp hajatambua kuwa Pogba anacheza vyema Juve sababu anazungukwa na wataalam!Hapa Pirlo;pale Vidal na nyuma yako yupo Marchisio hata Domayo angeng'aa tu
 
Mkuu baadae nitakukumbusha wakati kijana Campbell anavyo wageuza!

Italy isingempoteza Montolivo aungane na Pirlo na Marchisio pale katikati ndiyo ningekubali haya usemayo!!



Hujui ulisemalo.
Tena una bahati umeishi kipindi ambacho huyu kiumbe pekee kutoka ulimwengu mwingine yupo sayari hii akiwafunda kina Gerrard, Xavi, Yaya jinsi ya kuucheza mpira huku akiushangaza ulimwengu kwa namna anavyochanganya maarifa ya sayansi na art kutoa burudani ya aina yake pindi kila augusapo mpira.

You should embrace this moment, wenzako watakuja kusimuliwa tu makuu yake, vizazi na vizazi vijavyo.
Forza Pirlo
Forza Azzurri

cc: shifta, juve2012, Ziroseventytwo pachanya
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…