Ivory Coast Mungu kawapa chance nyingine,washindwe wenyewe tu kumfunga Grece
Mkuu mie ni #TeamEngland naamini kabisa balotel na pirlo watatubeba kwa kumfumua bao nyingi costa rica na suarez, halafu vijana wa malkia wanamalza kesi kwa kujinyakulia point 3 kwa costa rica kiuraini tar 24.
unajua nini kitatoke italy atamfunga costa rica halafu wao, mechi ya mwisho kati ya italy na uruguay itakuwa draw hapo ndipo safari ya costa rica na england itakuwa imefika rasmi
Hapo wote mmechemka, italy leo anapigwa na costa tica halafu na uruguay nae atampiga italy. Costa rica na uruguay wataingia round ya pili wakati england na italy watafungasha virago kwenda kuboresha ligi zao kama spaniola.
Mkuu baadae nitakukumbusha wakati kijana Campbell anavyo wageuza!
Italy isingempoteza Montolivo aungane na Pirlo na Marchisio pale katikati ndiyo ningekubali haya usemayo!!
Pirlo ana aga leo,tutamkumbuka sana hasa ukizingatia hii ndiyo mechi yake ya mwisho!Tuta ya miss madambwi dambwi yake
Ramsey hakuja OT sababu ya namba angekuja angekaa sana benchi ndio maana alichagua Arsenal baada ya kuhakikishiwa nafasi ya kucheza.England wana matatizo mengi sana
1.Hawana wachezaji wazuri
2.Makocha wabovu
3.Hawana mipango ya muda mrefu
4.Kuna pressure kubwa ya media
Wanatakiwa wareview mfumo wao wa soka kama walivyofanya wajerumani
Hapana mkuu baba yake Serey Die alishafariki tangu 2004. Alikuwa na hisia tu kali kwa kucheza kombe la dunia.
Hakuja Man Utd sababu alijua hakuna mpango, alijua kipaji chake kitaendelezwa vizuri chini ya Wenger kuliko Fergie. Kwanza alipokuja Arsenal alikuwa benchi/reserve alikuwa anacheza mechi Carling Cup na FA cup tena alikuwa anaingia kama sub sio kama alikuwa first choice. Tulikuwa tuna Gilberto, Cesc, Denilson, Flamini,Rosicky, Nasri, timu ilikuwa na wachezaji waliokuwa wapo juu yake. Sio kweli kwamba alihakikishiwa namba Arsenal. Ni sawa na unavyomuona mtoto wa Kiethiopia Zelalem sasa hivi anavyosota na reserve na kuappear mechi chache hapa na pale.
Dogo De gea anastahili kuanza...
Wamelipiza kisasi cha goli moja kwa sifuri 2010 walipoenda dakika 120 na kwa bahati mbaya kadi nyekundu ilichangia sana Uholanzi kuruhusu goli moja la INIESTA.Niliwaambia toka juzi wadau wa Spain kuwa Nederland italipa kisasi wakachooonga, sasa Madrid kimyaa. Sasa ni mwendo mudundo.