World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hivi hakuna waangalizi wa golini kama CL?it's very unfair mechi kama hii kuharibiwa balance yake kwa maamuzi ya mara moja yasiyo sahihi.
 
Alichokifanya Diego Costa mpaka kupelekea penalt kwenye mechi ya Spain dhidi ya Nertherland ni zaidi ya ma straika wengi,najiuliza ni lini Tanzania tutakua na wachezaji wa aina hii ya Diego Costa?
 
Tatizo la Uholanzi ni kushindwa kutumia nafasi chache wanazopata. Mfano nafasi ya Shneider. Kilekile kilicho wagharimu fainali
 
Hivi hakuna waangalizi wa golini kama CL?it's very unfair mechi kama hii kuharibiwa balance yake kwa maamuzi ya mara moja yasiyo sahihi.
Haya maamuzi yenye utata ndio yanaharibu ladha ya mashindano kabisa,,,,,,
 
Inaonekana kama jamaa aliugusa mguu wa Costa pale.......

Nimetazama replays,naona kulikuwa na contact lakini ni Costa aliyekanyaga mguu wa mwenzie na wakati jamaa anavuta mguu wake Costa akakosa balance!very dubious penalty.
 
Huwa nashangaa sana tabia ya kuomba au kununua mbegu kama za mahindi, mihogo, mpunga,n.k ila kupandikiza /kununua mbegu za wachezaji tunasisita. Ebu washauri akina Malinzi, B. Wambura, Dewji, Manji na akina M. wambura hii kitu.
 
Namuona mtaalamu wa vichwa Enzi hizo Kruvet jasho linamtoka pale.
 
Back
Top Bottom