- Jan 30, 2008
- 786
- 1,555
Kwa maana hiyo England washapanda Pipa kurudi London.
Ndio maana yake,hata wakishinda mechi ya mwisho haina msaada kwao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maana hiyo England washapanda Pipa kurudi London.
Mtani leo ulikuwa Costa rica?Costa Rica fanyeni mambo hapo cha pili faster, kuna watu wana mabegi mkononi.
Kwa maana hiyo England washapanda Pipa kurudi London.
Ndio maana yake,hata wakishinda mechi ya mwisho haina msaada kwao.
Kwa maana hiyo England washapanda Pipa kurudi London.
everlenk tumeangukia pua, costa kashinda tujipange kwa mechi inayofuata.
Inawezekana maajabu ya Spain kurudi home yakaikumba Italy? tusubiri...
duh mwaka huu wakubwa wanaaibika sana asee