World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hizi nchi za America hatari sana,kombe litabaki kwenye bara lao.
 
France afanye juu chini amfunge Suisse,bila hivyo Ecuador ni hatari sana,Bonne chance France
 
everlenk tumeangukia pua, costa kashinda tujipange kwa mechi inayofuata.

Inawezekana maajabu ya Spain kurudi home yakaikumba Italy? tusubiri...

Haya haya hongera zao Costa rica,ila kwa hawa haijaniuma sana nilikuwa shabiki kundi la wanaovutiwa
 
Last edited by a moderator:
bets zinaharibika na inaelekea zitazidi kuharibika World Cup hii. Unaweza kukuta Brazil nao wakaondolewa, France nao wakapoteza vs Switzerland.
 
America Kusini oyee! Mpira wa maneno mwisho ulaya, huku Brazil tunataka magoli tu
 
Kwa haya matokeo nadhani tunaweza kusema England wameshatolewa rasmi.Nafasi ya mwisho ni kati ya Italy na Uruguay hadi sasa.
 
Kudaadek chomoa chomoa na wewe kama wale watu waliogandiana kulee ivi ile story ilikua ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…